ayofoto.info Personal Growth BIBLIA TAKATIFU YA KISWAHILI PDF

Biblia takatifu ya kiswahili pdf

Friday, July 12, 2019 admin Comments(0)

Swahili Revised Union Version (SUVDC) · Swahili Union Version (SUV) · Swahili Neno: Bibilia Takatifu (NEN) · Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza. Biblia Ya Kiswahili - Download the Swahili Bible – Biblia for free. Swahili bible (Biblia Takatifu)is the First ever Material design Biblia Takatifu in Android. Biblia vitabu: kuchagua kitabu unataka kusoma au kusikiliza.


Author: WILL BOSTEN
Language: English, Spanish, German
Country: Peru
Genre: Biography
Pages: 308
Published (Last): 09.02.2016
ISBN: 257-4-72896-678-3
ePub File Size: 28.81 MB
PDF File Size: 12.67 MB
Distribution: Free* [*Regsitration Required]
Downloads: 27002
Uploaded by: CLIFTON

kuwa takatifu? Basi, Yesu akawauliza, "Sura na chapa hii ni ya nani?" Anayeapa kwa madhabahu ameapa kwa hiyo madhabahu. Biblia ya kiswahili yenye tafakari ya neno la kila siku, download free kwa kupata mistari ya kila siku, neema juu yenu. Read more. Collapse. Bible Swahili - Kiswahili Biblia Takatifu. Read more. Collapse. Reviews. Review Policy. 82 total. 5. 4. 3. 2. 1. Jerry Frank. October 26, 1.

Ni JUMA la siku saba. Visit website. Andika majibu yako mwenyewe kwa swali, baada ya kuwa umeshasoma kile Biblia isemacho juu ya hilo kulingana na aya zilizoandikwa kuwa zinatoa majibu kwa swali hilo. Siyo kitu ambacho unasoma tu harakaharaka. Yule ambaye hajifunzi kwa lengo hili — ambaye hajayatoa maisha yake kikamilifu kwa Mungu ili kwamba Mungu ayatawale maisha yake, huyo HAWEZI kuielewa Biblia, hata kama atajitahidi kiasi gani. United States Language:

Flag as inappropriate. Visit website.

Kiswahili biblia pdf ya takatifu

See more. English Swahili Bible. Daily Bible Apps. Swahili English Bible. Bible Factory. An offline Swahili-English Bible. Swahili Bible. Swahili Bible Biblia Takatifu ya Kiswahili. Old Testament and New Testament. Watu katika kila taifa yaonekana wame pania kutenda mambo kivyao kinyume na Mungu wa kweli wa Biblia.

Mungu alimuvuvia Yeremia kuandika kwamba: Asili ya mwanadamu haijabadirika! Lakini wasomi wengi na watu wengine wanajidai kutenda kana kwamba imebadirika.

Kumbuka Kristo alisema hali katika ulimwengu huu kabla ya kuja kwake ingekuwa: Tofauti na siku za Nuhu, mwanadamu kwa sasa anao uwezo wa kufutilia mbali uhai wote haraka na mara moja utoke katika sayari hii — tena kwa njia nyingi tu.

Njia tatu za maangamizi ya Ulimwengu wote! Miongo kadhaa, Sir Robert Watson na Dr. Afisa mmoja wa juu toka ofisi za jeshi la Marekani — Pentagon, huko Washington, D.

Kiswahili ya pdf takatifu biblia

Msingi wa chanzo cha machafuko ya ulimwengu, na kimsingi — ufumbuzi wake, imefafanuliwa kwa ufasaha na wanasiasa wawili marehemu wa Kimarekani. Katika hotuba yake ya kutawazwa, Rais Dwight D. Je, tunaikaribia nuru—siku ya uhuru na amani kwa wanadamu wote? Ama ni vivuli vya usiku mwingine vinatunyemelea kwa kasi? Kisha baada ya kuainisha kanuni tisa ambazo zingeongoza mahusiano ya kimataifa, alitamka ukweli ambao—Iwapo ungetumika kwa usahihi — ungekuwa hatua kubwa kuelekea kwenye suluhisho, si wa matatizo yetu pekee, bali na wa ulimwengu wote.

Iwe alilitambua hili ama la, Rais Eisenhower aliongea sawa kabisa na maneno ya Mungu wakati wa hotuba yake hiyo kwamba katika America—sawa na katika mataifa mengine—moyo, TABIA za wanadamu sharti zibadirike ikiwa tunahitaji kupata amani duniani.

Ebu sasa na tufuatilie maneno ya kipekee na mazito yaliyotamkwa na mtu mashuhuri, marehemu Generali Douglas MacArthur kuhusu swala hili.

Katika hotuba hiyo ya kusisimua, alitoa maelezo makuu yaliyobainisha weredi wake, alisema:. Ushirikiano wa Kijeshi, jitihada za kulinganisha nguvu, Umoja wa Mataifa, yote haya moja baada ya jingine yameshindwa, yakiacha njia pekee kuwa ni kwa kupambana katika vita. Uangamifu mkubwa wa vita sasa unaiziba njia hii kuwa haifai tena. Ebu na tuyatafakari maneno haya ya nguvu.

Pamoja na kwamba huyu alikuwa ni Jemedari mashuhuri, MacArthur aliamini kwamba—katika vita ya dunia—tulikuwa tayari tumepitia fursa yetu ya mwisho! Watu wengi wanakusudia kufanya mambo sahihi, lakini hawaijui njia ya kuelekea kwenye amani. Wanadhamira ya kweli, lakini kweli wamepotoka. Sawa na Selemani alivyovuviwa kutuandikia: Mungu anabainisha kwamba njia ya kawaida, ambayo mtu wa tabia ya asili anaitamani kuifuata huishia kwenye mauti.

Ya pdf takatifu biblia kiswahili

Watu daima hudanganyika kwa kudhani kwamba hakuna hatari yoyote kwa sasa — kwamba siku zote ulimwengu umekuwa hivihivi. Hii ni kweli kwa sehemu fulani.

BIBLIA TAKATIFU - SWAHILI BIBLE

Asili ya mwanadamu daima imekuwa hivi siku zote. Mtu wa tabia za kimwili siku zote kaleta mauti na uangamifu kwa ulimwengu. Hata hivyo, kumbuka kwamba Paulo alisema: Mwanadamu katengeneza bunduki na mizinga siku nyingi zilizopita. Baadaye, vifaru na ndege za kivita zikaanza kutumiwa. Uwezekano wa kuangamia kwa wanadamu siyo jambo la kukisia tu bali ni ukweli wa kuogofya! Japo kutakuwepo nyakati zionekanazo kuwa ni za amani, matangazo ya amani na usalama yatatolewa punde tu kabla uangamifu utujiapo kwa ghafla 1 Wathesalonike 5: Cha kusikitisha, wengi watawaamini wale watakaotangaza kuja kwa amani ya uongo isiyo chini ya Mungu wa Biblia Ezekieli Sawa na Suleimani alivyovuviwa kuandika: Hiyo ndiyo njia pekee ya kuyaokoa maisha ya mwanadamu yasitoweke toka sayari hii.

Yesu Kristo alijua juu ya hali mbovu ya maswala ya watu ambayo wangejiletea wenyewe katika siku hizi za mwisho, pale aliposema: Zinaonyesha kwamba Mungu aliona kabla juu ya kubuniwa na kuundwa kwa silaha tulizonazo leo za maangamizi makuu mapema kabla hata mwanadamu hajawahi kuota kuwa angeziunda. Na zinafunua kuwa Mungu tayari alikuwa amebuni suluhisho pekee na la maana. Mpango wote kamili wa Mungu ni wa maana na halisi. Ni JUMA la siku saba.

Sawa na Mungu alivyozianzisha nyakati pale mwanzo, mwanadamu amepewa siku sita za kazi zinazofuatiwa na siku ya mapumziko. Katika Waebrania 4: Ukijumulisha miaka mbalimbali ya watu wa Kitabu cha Mwanzo, miaka ya utawala wa wafalme mbalimbali, na kuongezea tarehe za matukio kadhaa ya kwenye Biblia, utakuta kwamba miaka 6, ya wanadamu kujisimamia ni dhahiri imefikia kikomo.

Miaka elfu sita ya historia ya mwanadamu umfikia ukingoni. Mtazamo kuwa wanadamu wameishi katika dunia kwa makumi ya maelfu ya miaka iliyopita ni ngano isiyoweza kuthibitishwa! Somo lifuatalo punde litakupa kweli hizi ili uweze kujifunza mwenyewe nyumbani! Walifikiri ufalme ungesimikwa wakati wa nyakati zao, ilipokuwa bado ni miaka 4, tu ya mpango wa Mungu ndiyo pekee iliyokuwa imekamilika.

Petro alisema: Sababu hawezi kuingilia hadi pale mwanadamu atakapofikia kumlilia Mungu baada ya kukabiliwa na janga la kujiangamiza mwenyewe. Wafuasi wa kweli wa Kristo kwa miaka mingi wametambua kwamba Mungu atamtuma Yesu Kristo kuja kuusimika ufalme wake katika mwaka wa siku ya saba ya miaka elfu moja, ambao utaleta nyakati za mapumziko na amani.

Hakuna kitabu chochote cha Biblia kilichoandikwa hapo mwanzo kwa lugha ya Kilatini na wala hakuna kilichokuwa hapo mwanzo kimeandikwa kwa Kiingereza ama Kiswahili. Hizi ni tafsiri zilizotokana na tafsiri tena zingine kiasi cha kupoteza baadhi ya maana zilizokusudiwa hapo awali.

Mara nyingi tafsiri huwa na makosa ambayo aidha yalikusudiwa ama yalikuwa ya bahati mbaya. Maandiko ya awali kabisa ya Biblia hayapo tena kwani yalioza, ama kupotea au hata yaliharibiwa. Hata hivyo, bado kuna maandiko mengi ya awali ambayo yanapatana na Biblia zilizotafsiriwa kwa usahihi, yanayoithibitisha kuliko maandiko mengine ya maelfu ya miaka ya kale. Wayahudi, kwa mfano, walikuwa na utaratibu makini sana wa kunakiri na kuhakiki ili kudhibiti upotezaji wa maana ya awali ya maandiko.

Agano Jipya lenyewe lilikuwa na nakala nyingi zilizosambaa kwa wengi ndani ya kipindi kifupi baada ya kuandikwa kwake ili kuhakikisha kutotokea kupotea ama kubadirishwa kwa maana ya awali ya Maandiko.

Lakini sasa ni toleo lipi la maandiko ya awali ndilo liwe msingi wa kutumika wakati wa kutafsiri imekuwa ni hoja yenye mkanganyo. Cosimo Classics, , p. Tafsiri za neno-kwa-neno ni bora zaidi kwa kujifunza Biblia kuliko zile zilizofafsiriwa kwa kufuata maana ya aya katika Biblia.

Tafsiri ya kuonyesha maana ni jitihada za yule anayetafsiri kutoa maana ya aya ama sura ile anayoitafsiri kwa kufuata kile anachoona, anachodhani, ama anachokiamini kuwa maandiko ya awali yalimaanisha, kinyume na kutafsiri ya kila neno jinsi lilivyo na hivyo kumwacha msomaji aamua mwenyewe lengo la aya ama sura. Lakini kwa kuwa tafasiri hizi za maana ni nyingi na rahisi kuzisoma kuliko zile za neno-kwa-neno, wengi huzipendelea. Nimesoma tafasiri nyingi mbalimbali kwa ukamilifu.

Huko nyuma nilizoea kutumia tafsiri ya KJV zaidi, lakini ni ngumu kwa walio wengi kuielewa — kwa kuwa wengi wa watu wa siku hizi wanashida ya kukielewa Kiingereza cha kale na wengi wa walio si wazaliwa wa lugha hiyo hupata shida sana.

Pamoja na KJV, ijapokuwa wengi huiamini sana, lakini tafsiri hiyo inayo makosa mengi imeitafsiri vibaya aya ya Matendo Ni muhimu ieleweke kwamba Biblia haikuwahi kueleza kwamba Roho ya Mungu ingewaongoza wale watakaotafsiri Biblia toka lugha za awali kwenda lugha za mataifa mbalimbali kama ambavyo wengi watumiao KJV na wale wa Septuagint wanavyodai na Kuamini. Sipendekezi kwamba itumike kama tafsiri tegemeo. Na kwa vile inatumia zaidi lugha ya siku hizi, naiona NJB kuwa ya msaada zaidi, hususani pale nilengapo jamii ya watu wa asili ya Kikatholiki zaidi.

Wakati mwingine inasaidia ukisoma tafsiri kadhaa juu ya aya ama sura fulani unayojifunza kwani yaweza kukusaidia kuelewa zaidi, japo wakati mwingine makosa ya tafsiri yaweza kuwa tatizo. Lakini kadri ujisomeapo Biblia mara kwa mara, hususani ikiwa ni kwa mwongozo wa Mungu, ndivyo utakavyoweza kupambanua zaidi ukweli upi ulikusudiwa kinyume na makosa ya mila za wanadamu zilizojiingiza.

Zaidi kuhusu jinsi vitabu vya Biblia vilivyokusanywa na kuwekwa pamoja na ni vipi vilikubaliwa kuwa ni maandiko matakatifu, haya yataongelewa katika masomo mengine. Pale alipokuwa na njaa kimwili na akijaribiwa na Shetani, Yesu alinukuru toka kitabu cha Kumbukumbu la Torati:.

Majibu yake mengine pia kwa Shetani vilevile yalitokana na kuyatumia na kuyanukuru Maandiko Mathayo 4: Kwa kuwa sheria ya Mungu na neno lake ndizo kweli, utawezaje kuujua ukweli pasipo kuisoma ama kuisikia Biblia ikisomwa kwako?

Kuisoma Biblia ndiyo njia ya kupima iwapo kitu fulani ni cha kweli. Biblia inatufundisha neno la Mungu na jinsi ya kuishi. Paulo alikuwa mhubiri wa Mungu, lakini watu wangemjuaje? Wangelimjua kupitia uelewa wao wa Biblia. Unaipataje elimu ya Biblia? Kwanza kabisa ni kwa kuisoma ama kusomewa. Kisha ni kwa kujifunza unayoyasoma ama kusomewa.

Maandiko yalivuviwa na Mungu 2 Timotheo 3: Neno la Mungu la unabii ni la hakika. Hili kwa hakika ni faraja kwetu katika siku hizi za mwisho.

Biblia Takatifu

Zaidi ya kutupatia maagizo, mafundisho na kutuonya, kuisoma Biblia pia yaweza kukusaidia kuyajua mawazo na makusudi ya moyo wako:. Sasa tuko tayari kuanza kipengele cha mwisho cha somo. Lakini subiri kidogo! Je, Biblia yako iko mbele yako?

Ikiwa haiko, usiendelee kusoma hata neno moja zaidi! Kwa masomo mengi yatakayofuata waweza kutumia aina ya tafsiri zingine, lakini maswali na majibu kimsingi yatatokana na NKJV labda tu pale pameelekezwa tofauti. Sasa tuko tayari kulianza somo hili. Usituamini sisi tu timu iliyosimamiwa na marehemu C.

Maneno yetu yamekusudiwa yakuelekeze ni wapi pa kutazama kwenye Biblia yako — ili kukusaidia uelewe namna ya kujifunza Biblia. Sasa basi, pamoja na Biblia yako, kamusi dictionary nzuri, na karatasi zako za kuandika pointi zote zikiwa mbele yako, hii ndiyo mbinu utakayotumia kujifunza: Andika, kwa ufasaha, kwenye karatasi zako, Kichwa cha habari: Mathayo Kadharika andika wazo ama taarifa zozote ziendanazo na swala hili unazohitaji kuzikumbuka.

Utakapomaliza kuandika swali hili, na kujifunza majibu yake katika Biblia na kuwa na uhakika kwamba unalielewa, basi soma swali lifuatalo.

Andika majibu yako mwenyewe kwa swali, baada ya kuwa umeshasoma kile Biblia isemacho juu ya hilo kulingana na aya zilizoandikwa kuwa zinatoa majibu kwa swali hilo. Pia nunua file ama binder, ili uzitunze karatasi ama daftari la majibu na notisi zako pamoja na jarida hili la somo lenye maswali, yakiwa salama kwenye faili ama binder yako hiyo. Yatunze tu kwa ajili ya kuyapitia na kujikumbusha.

The Bible in Kiswahili - Swahili

Add a review Tell us your experience with Biblia Ya Kiswahili 0. Free Swahili bible has got all chapter of old testament and New testament in Swahili standard, with a legitimate reading in Continue to app Rating: You can read bible online or download to your device.

The first translation of parts of the Bible into Swahili was accomplished by Works offline and has amazing user interface making it easy to use.

App features: Click stars to rate this APP! Tapped Out.